Asus Eee Pad Slider 32 GB Tablet inauzwa wapi hapa Dar?

mfianchi

Platinum Member
Joined
Jul 1, 2009
Posts
12,210
Reaction score
9,032
Wajameni kuna mdau aliwahi kusema hapa jamvini kuwa kati ya tablet nzuri ,Asus Eee Pad Slider 32GB ni tablet nzuri sana,na kweli nimebofya nimeona ni nzuri yaani ni kama Min laptop vile,sasa nauliza kwa hapa Dar inaweza patikana wapi na kwa bei ya kiasi gani,nauuliza hasa hiyo ya 32 GB na sio ya 16 GB.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…