Hawana maana kweli;eti scientist international organization-jina lenyewe limekaa kitapeli;hata hivyo tumshukuru Mungu hao majamaa hawajashika mapanga kuanza ujambazi;ni matunda ya uhaba wa ajira na ugumu wa maisha.Hajakosea aliyesema education without values seems to make a man more clever devil.