usiulize swali,huyo ni moderator ata kulamba ban sasa hivichit chat ni nini??
Oook
what the ........??
<br />chit chat ni nini??
Haya haya badugu Fellow Tablet1 ndani ya jamvi lengo nikuendelea kupambana na maradhi sugu jamani siapata location naomba mniambie ni location ngani nzuri itanifaa
maana Asprin na Krolokwin wao location zao ni Pharmacy na Maternity ward....
ndugu yangu Fellow Table nishike mkono na mimi nisaivu...
nimewapa shavu la kwanza kabla ya member wengine kwa kua nyinyi we belong in the same family
kamata wadi ya akina mama, bado haijajaawe keep growing... give me the location yours is Main Pharmacy, and mine??
Huyo ni Invisible kuwa mwangalifu
Fellow Tablet1
Junior Member
Join Date : 17th May 2011
Posts : 4
Thanks 0 Thanked 0 Times in 0 Posts
'TF'
Junior Member
Join Date : 17th May 2011
Location : Main Pharmacy
Posts : 4
Thanks 0 Thanked 0 Times in 0 Posts
Hizi ID mbona naona manyota nyota tu na mafua yanabana......khaaaaa!!!
Anyway, karibu mwaya na kama unataka location we jiendee zako Gynecology Center