Hapa hakuna lolote linahusiana na Uhuru hapa, KDF ni KDF hata Raisi awe nani, bado KDF itakua ni KDF!Hawashambiliwi sababu wanazuia, sio kwamba hawajaribiwi.
Anyway, Wewe unatetea kila kitu cha Uhuru sioni sababu ya kubishana hapa.
Pwahaha, hio video inachekesha, kali sanaWalishare video ya huyu hero wao sana, see what was of him after, kdf hits them so hard wenyewe wanajua mbona they abandoned kismayu
Sababu ya Kenya kuandamwa ni udhahifu wenu wa vyombo vya ulinzi. Pili ni dhuluma ya serikali ya Kenya inayowafanyi waisilamu na jamii ya kisomali inayoishi Kenya, msikilize huyu " Mohammed Addow" anasema wazi wazi kwamba wao kama wasomali wanateswa.Hata yule former leader wa Alshabaab Ahmed Godan ashawahi kutoa taarifa kama hio akiwasihi waislamu wote duniani waanzishe vita vya Jihad dhidi ya Kenya... Sasa mnafaa muelewe kwanini Alshabaab hua inapenda kulenga Kenya ilhali huko Somalia ndani ya AMISOM kuna nchi kama nane lakini siku zote Alshabaab wakitoa taarifa ni Kenya this, Kenya that..... Sisi ndo hua tunawatesa hao jamaa kila siku, jamaa wanatuchukia kwa kuwaharibia mipango yao ya kujitengezea ka islamic state yao ambayo ilikua iunganishe hadi sehemu ya former North Eastern Province ndani ya Kenya.
Jamaa alikua ameingia mitini miezi sita sasa amejitokeza na kutuma audio clip, haya sasa mchezo wa paka na panya uanze tena!
Sababu ya Kenya kushambuliwa saba ni dhuluma mbazowafanyia waisilamu na wasomali wanaoishi Kenya, angalia na sikiliza kwa makini hizi documentariesHapa hakuna lolote linahusiana na Uhuru hapa, KDF ni KDF hata Raisi awe nani, bado KDF itakua ni KDF!
Dunia ya siku hizi ambayo kila mtu ana simu, Vita vyovyote hua lazima utasikia fununu, lazima kuna mkaazi angalau mmoja ataongea na vyombo vya habari (akina BBC na Aljazeera) na kuthibitisha kwamba majeshi ya Ethiopia yalipigana na alshabaab mahali flani, au walivamia kijiji flani na kushika watu.. etc...... Mbona hatusikii hizi story ???
Inakuwaje Alshabaab ina kikosi maalum kilichofanyiwa mafunzo spesheli ili kushambulia Kenya? Mbona hawana kikosi spesheli cha Uganda au Ethiopia au Burundi ...etc?
Inakuaje walitangaza vita vya jihad kwa Kenya pekee, mbona hawajawahi tangaza jihadi didhi ya Ethiopia na Uganda??
Onyesha wapi Alshabaab ina kikosi maalum kwa ajili ya kushambulia Kenya?. Huu ujinga wenu na kujifanya mnajua kila kitu ndio sababu kubwa nchi yenu inazidi kujikuta katika matatizo kila siku.Hapa hakuna lolote linahusiana na Uhuru hapa, KDF ni KDF hata Raisi awe nani, bado KDF itakua ni KDF!
Dunia ya siku hizi ambayo kila mtu ana simu, Vita vyovyote hua lazima utasikia fununu, lazima kuna mkaazi angalau mmoja ataongea na vyombo vya habari (akina BBC na Aljazeera) na kuthibitisha kwamba majeshi ya Ethiopia yalipigana na alshabaab mahali flani, au walivamia kijiji flani na kushika watu.. etc...... Mbona hatusikii hizi story ???
Inakuwaje Alshabaab ina kikosi maalum kilichofanyiwa mafunzo spesheli ili kushambulia Kenya? Mbona hawana kikosi spesheli cha Uganda au Ethiopia au Burundi ...etc?
Inakuaje walitangaza vita vya jihad kwa Kenya pekee, mbona hawajawahi tangaza jihadi didhi ya Ethiopia na Uganda??
Ukiona mwenzio ananyolewa........Onyesha wapi Alshabaab ina kikosi maalum kwa ajili ya kushambulia Kenya?. Huu ujinga wenu na kujifanya mnajua kila kitu ndio sababu kubwa nchi yenu inazidi kujikuta katika matatizo kila siku.
Badala ya kukaa na kutafakari kwa kina chumbuko la matatizo yenu, ninyi kila siku mnafikiria mambo ya kijinga. Kila kitu kipo kinajulikana kwanini Kenya ni target ya Alshabaab, badala ya kujaribu kufanyia Kazi hizi sababu halisi, ninyi mnakuja na ujinga wenu.
Sikiliza waisilamu wa pwani wanavyoshabikia Alshabaab na wanasema wanaendelea kujiunga na Alshabaab ili kuipiga Kenya
Ukiona mwenzio ananyolewa........
Mbona hamuwashiki hawa kabla wavuke mpaka??? Kumbuka wale tunaowashika bado kuna wengine wanafanyikiwa kupenya, iko siku watarudi kwao vita vya Somalia vikiisha... ...
----------------------------------------------------------------------
A Tanzanian man facing six terrorism charges has been jailed by a Lamu court for 110 years.
Abdul Harun Karim was found at Kiwayu Island in Lamu County three years ago while recording a video entitled "suicide bomber".
On Wednesday, he was found guilty by Lamu Principal Magistrate T.A. Sitati of being a foreign fighter in the country and sentenced to 30 years in prison.
The magistrate said being a foreign fighter in Kenya was a serious offence.
According to the prosecution, Karim was arrested on May 9, 2016, at Kiwayu Island in Lamu on his way to Somalia to be trained as a terrorist.
The magistrate convicted him for this offence and sentenced him to 20 years in prison.
Sitati ordered that the accused serve 30 and 20 years concurrently for first and second counts, then start serving 15 years each on four counts of collection of information, concurrently.
-----------------------------------------------Man on terror charges jailed for 110 years
Man to be repatriated to Tanzania upon completion of termwww.standardmedia.co.ke
--------------------------------------------------
Three Tanzanians have been handed a 15-year jail term each after being charged with terrorism in Kenya.
The trio from Zanzibar, a semi-autonomous archipelago, were arrested last year in the border Wajir County, in northeastern Kenya attempting to cross into Somalia. They were found in possession of items used in terrorism acts.
Mbarouk Ali Adibu (34), Idarous Abdirahman (32) and Islahi Juma (22) appeared before Wajir Senior Resident Magistrate Amos Makoros for sentencing on Wednesday following convictions on Tuesday.
They will now serve their sentences at Wajir Prison.
3 Tanzanians handed 15-year jail terms over terrorism in Kenya
The trio was arrested last year at the Kenya-Somalia border.www.theeastafrican.co.ke
-----------------------------------------------------------
Tanzanian jailed for life over Garissa University attack as 2 Kenyans get 41 years each

NAIROBI, Kenya, Jul 3 – The Tanzanian national found guilty of aiding the 2015 terrorist attack on Garissa University that claimed over 150 lives of mostly students has been handed…www.capitalfm.co.ke
------------------------------------------
-------------------------------------------------------------
Thursday, 25th July 2019, Latest military intelligence reports from Somalia indicate that three (3) Tanzanians fighting for the Al-Qaeda affiliate, Al-Shabaab have been captured in a military operation conducted in Afmadow, Somalia.
Military source reports indicate that the intelligence-led operation saw the three Tanzanian, terror operatives arrested and a number of jihadists materials, bomb making materials recovered from their house
------------------------------------------------------------------------3 Tanzanians Captured Fighting for Al-Shabaab in Afmadow, Southern Somalia
Thursday, 25th July 2019, Latest military intelligence reports from Somalia indicate that three (3) Tanzanians fighting for the Al-Qaeda affiliate, Al-Shabaab have been captured in a military operation conducted in Afmadow, Somalia. Military source...intelligencebriefs.com
Ingekua ni Serekali ya Tanzania inashika magaidi wa Kenya kwa kiwango hichi, Watanzania wangekua walishaanzisha propaganda kwamba eti Kenya inatuma magaidi waaende Tz kuangusha serekali na kuhujumu Uchumi wa Tz.. blah blah blah kama vile huwa mnadai eti ma CEO wa Kenya hua wanatumwa waende Tanzania kuhakikisha kampuni zenye ziko Tanzania hazitawahi kutengeneza faida blah blah blah
Hao waisilamu toka Tanzania wanakuja kuwasaidia waisilamu wenzao wa Kenya mnaowapiga risasi na kuvamia misikiti yao, ndio sababu Alshabaab huwa wanawatenga waislam na wakristo kabla ya kuwauwa wakritso.Ukiona mwenzio ananyolewa........

Sababu ya Kenya kuandamwa ni udhahifu wenu wa vyombo vya ulinzi. Pili ni dhuluma ya serikali ya Kenya inayowafanyi waisilamu na jamii ya kisomali inayoishi Kenya, msikilize huyu " Mohammed Addow" anasema wazi wazi kwamba wao kama wasomali wanateswa.
Ww KDF ni jesh dhaifu, yaan kuingia tu mpakan hapo somalia (kisimayu) mlitumia mwaka mmoja ndo mkaweza kupita sasa huoni mlivyo viazi mbatataNionyeshe lini walijaribu huko na wakashindwa??? Hivi unajua KDF pekee imeua alshabaab 3,000?? Niambie ni majeshi ya nchi gani nyengine hapo Somalia inakaribia hio number??
Ukweli unauma, lakini mkitaka amani lazima mkubali kuja kujifunza TanzaniaBado unaendeleza roho chafu...kw unafiki tu...hamu wezekani
Hao Kenya wanajeshi wake wanakimbiaga kozi za TPDF za TZUkweli unauma, lakini mkitaka amani lazima mkubali kuja kujifunza Tanzania
Ukweli unauma, lakini mkitaka amani lazima mkubali kuja kujifunza Tanzania
Hao Kenya wanajeshi wake wanakimbiaga kozi za TPDF za TZ
Lini umesikia Shabab wameattack Nairobi isipokuwa January this year? Last time waliattack Nairobi ilikuwa 2015. Kwa hivyo punguza presha. Wao wakija tunapasua vichwa vyao tu. Hatuwaogopi na wanajua hivyo.Hao waisilamu toka Tanzania wanakuja kuwasaidia waisilamu wenzao wa Kenya mnaowapiga risasi na kuvamia misikiti yao, ndio sababu Alshabaab huwa wanawatenga waislam na wakristo kabla ya kuwauwa wakritso.
Kitu muhimu ni ninyi wakenya kupunguza kujifanya mnajua kila kitu, jaribuni kusikiliza na kujifunza toka nchi zenye Amani kama Tanzania, sisi huku kuna waisilamu wengi zaidi kuliko nchi yoyote hapa Afrika nashariki na kati, lakini husikii wakilalamika kwamba wananyanyaswa, hata Alshabaab wenyewe walisema hawana matatizo na Tanzania.
Hahahaha, nilikumiss sana "kakablaza". Hivi lile shambulio ka Duset2 Hotel lilifanyika mwaka gani?Lini umesikia Shabab wameattack Nairobi isipokuwa January this year? Last time waliattack Nairobi ilikuwa 2015. Kwa hivyo punguza presha. Wao wakija tunapasua vichwa vyao tu. Hatuwaogopi na wanajua hivyo.
Soma tena comment yangu. Nimesema isipokuwa January this year. Hio ndio Dussit. Nadhani baada ya zaidi miaka mitatu bila mashambulizi, tulianza kuzubaa kidogo ndio wakapata mwanya. Lakini vichwa vyao vilipasuliwa na nilipost hapa.Hahahaha, nilikumiss sana "kakablaza". Hivi lile shambulio ka Duset2 Hotel lilifanyika mwaka gani?
Hii maana yake wanaweza kupiga wakati wowote, sio lazima wapige kila siku. Lengo kubwa la terrorist ni kusababisha wasiwasi, sio kupiga au kuua, wakifanikiwa kupiga au kuua basi ni matokeo tu.Soma tena comment yangu. Nimesema isipokuwa January this year. Hio ndio Dussit. Nadhani baada ya zaidi miaka mitatu bila mashambulizi, tulianza kuzubaa kidogo ndio wakapata mwanya. Lakini vichwa vyao vilipasuliwa na nilipost hapa.