C Criterion JF-Expert Member Joined Jan 8, 2008 Posts 11,797 Reaction score 11,899 Mar 23, 2018 #1 Haya mambo yako namna gani? Naomba tujadiliane hapa. Mjadala wetu utaongozwa na vitabu vya :- 1. Matendo 2: 17 - 19. 2. Joel 2: 28 - 29. Kama huelewi, uliza tu watu wapo hapa tutajadiliana juu ya mambo haya. Kama wewe ni mwovu, endelea sana lakini fahamu kwamba "MUNGU YUKO HAI MILELE, NENO LAKE NI KWELI NA AMINI NA NENO LAKE LIMETHIBITISHWA.
Haya mambo yako namna gani? Naomba tujadiliane hapa. Mjadala wetu utaongozwa na vitabu vya :- 1. Matendo 2: 17 - 19. 2. Joel 2: 28 - 29. Kama huelewi, uliza tu watu wapo hapa tutajadiliana juu ya mambo haya. Kama wewe ni mwovu, endelea sana lakini fahamu kwamba "MUNGU YUKO HAI MILELE, NENO LAKE NI KWELI NA AMINI NA NENO LAKE LIMETHIBITISHWA.
A Alluu Senior Member Joined Jan 18, 2011 Posts 127 Reaction score 142 Mar 23, 2018 #2 Very inspiring testimony.....