Mwinjilisti Mkweli
Member
- Nov 21, 2023
- 10
- 24
Hahahaha π€£π€£π€£π€£ umeishia darasa la ngapi weweGwajima ni mtu na nusu wanakawe tunamkibali sana
Kazi ya Mbubge sio kununua Ambulance, bali kusimamia Serikali, kuhakilisha mapato ya Serikali hayapotei wala kutumiwa hovyo ili basi yaweze kufanya kazi kaka hizo.Mbunge wa Jimbo la Kawe na mjumbe wa Halmashauri kuu ya Chama Cha Mapinduzi Askofu Gwajima leo tarehe 22 Februari 2024 amekabidhi ambulance kwenye kituo cha afya Kawe Ukwamani Dar es Salaam.
Akikabidhi gari hiyo ikiwa ni utimizaji wa ahadi yake kwa wananchi wa Kawe, Askofu Gwajima amesema serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Mh Dkt Samia Suluhu Hassan inalenga kukabiliana na matatizo mengi yanayosababishwa na kukosekana kwa miundombinu rafiki ya afya.
Aidha Askofu Gwajima amewasihi wananchi wa kata ya Kawe kuendelea kuunga mkono jitihada za serikali kuwaletea maendeleo na kuboresha hali za maisha.
Askofu Gwajima ameongozana na viongozi mbalimbali wa chama na serikali.
Bidii gani, pale Bungeni anapitisha kila kitu, Maendeleo yako pale Bungeni kwa Wabunge kuibana Serikali. Mfano Walio tajwa report ya CAG mwaka jana hawajachukuliwa hatua, na wamepiga Billions of Money, huyo Gwajima anasemaje kuhusu hilo? Hizi ni hadaaa ni kama zile za Abood na magari ya kubeba Maiti, ni hadaaa za kuhadaa wapumha type yako.Moja wa wabunge wanaofanya kazi kwa bidii ni gwajima, pongez kwake sanaa mungu amtunzee
Upo kawe ya meatu au?Gwajima ni mtu na nusu wanakawe tunamkibali sana
Mimi asipotimiza ahadi yake ya kutupeleka wana Kawe Boston hata sitamwelewa hayo ya Ambulence tuwaachie afya na wasio na madani ya ahadi kubwa kubwa na wazalendo wa kujitolea wa njiii nchi hiiiπ€Mbunge wa Jimbo la Kawe na mjumbe wa Halmashauri kuu ya Chama Cha Mapinduzi Askofu Gwajima leo tarehe 22 Februari 2024 amekabidhi ambulance kwenye kituo cha afya Kawe Ukwamani Dar es Salaam.
Akikabidhi gari hiyo ikiwa ni utimizaji wa ahadi yake kwa wananchi wa Kawe, Askofu Gwajima amesema serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Mh Dkt Samia Suluhu Hassan inalenga kukabiliana na matatizo mengi yanayosababishwa na kukosekana kwa miundombinu rafiki ya afya.
Aidha Askofu Gwajima amewasihi wananchi wa kata ya Kawe kuendelea kuunga mkono jitihada za serikali kuwaletea maendeleo na kuboresha hali za maisha.
Askofu Gwajima ameongozana na viongozi mbalimbali wa chama na serikali.
Vp mmeshapelekwa Birmingham??Gwajima ni mtu na nusu wanakawe tunamkibali sana
Huu uongo huwa unafyatuka wenyewe kutoka kwenye ndimi za viongozi?Mbunge wa Jimbo la Kawe na mjumbe wa Halmashauri kuu ya Chama Cha Mapinduzi Askofu Gwajima leo tarehe 22 Februari 2024 amekabidhi ambulance kwenye kituo cha afya Kawe Ukwamani Dar es Salaam.
Akikabidhi gari hiyo ikiwa ni utimizaji wa ahadi yake kwa wananchi wa Kawe, Askofu Gwajima amesema serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Mh Dkt Samia Suluhu Hassan inalenga kukabiliana na matatizo mengi yanayosababishwa na kukosekana kwa miundombinu rafiki ya afya.
Aidha Askofu Gwajima amewasihi wananchi wa kata ya Kawe kuendelea kuunga mkono jitihada za serikali kuwaletea maendeleo na kuboresha hali za maisha.
Askofu Gwajima ameongozana na viongozi mbalimbali wa chama na serikali.
Mbunge wa Jimbo la Kawe na mjumbe wa Halmashauri kuu ya Chama Cha Mapinduzi Askofu Gwajima leo tarehe 22 Februari 2024 amekabidhi ambulance kwenye kituo cha afya Kawe Ukwamani Dar es Salaam.
Akikabidhi gari hiyo ikiwa ni utimizaji wa ahadi yake kwa wananchi wa Kawe, Askofu Gwajima amesema serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Mh Dkt Samia Suluhu Hassan inalenga kukabiliana na matatizo mengi yanayosababishwa na kukosekana kwa miundombinu rafiki ya afya.
Aidha Askofu Gwajima amewasihi wananchi wa kata ya Kawe kuendelea kuunga mkono jitihada za serikali kuwaletea maendeleo na kuboresha hali za maisha.
Askofu Gwajima ameongozana na viongozi mbalimbali wa kawe tumepata Mgodi wa almasi na
Mgodi wa Almasi wa kawe (jGwajima) unaomilikiwa na wananchi wa jimbo la kawe wamesema hakika Mgodi huo unawanufaisha sana toka uzinduliwe mwaka 2015, na wanashukuru sana kwa ambulance walizo patiwa kutoka katika mgodi huo.πΉπΏπΉπΏπΉπΏπΉπΏπΉπΏπππππππ₯π₯Mbunge wa Jimbo la Kawe na mjumbe wa Halmashauri kuu ya Chama Cha Mapinduzi Askofu Gwajima leo tarehe 22 Februari 2024 amekabidhi ambulance kwenye kituo cha afya Kawe Ukwamani Dar es Salaam.
Akikabidhi gari hiyo ikiwa ni utimizaji wa ahadi yake kwa wananchi wa Kawe, Askofu Gwajima amesema serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Mh Dkt Samia Suluhu Hassan inalenga kukabiliana na matatizo mengi yanayosababishwa na kukosekana kwa miundombinu rafiki ya afya.
Aidha Askofu Gwajima amewasihi wananchi wa kata ya Kawe kuendelea kuunga mkono jitihada za serikali kuwaletea maendeleo na kuboresha hali za maisha.
Askofu Gwajima ameongozana na viongozi mbalimbali wa chama na serikali.
ANGEKABIDHI NA TIKETI ZA KWENDA MAREKANI WANA KAWE KAMA ALIVYOWAHAIDI MWAKA 2015Mbunge wa Jimbo la Kawe na mjumbe wa Halmashauri kuu ya Chama Cha Mapinduzi Askofu Gwajima leo tarehe 22 Februari 2024 amekabidhi ambulance kwenye kituo cha afya Kawe Ukwamani Dar es Salaam.