KKKT inakuwa kama genge la wahuni tu .
kuna sehemu wanaondoa watendaji wao wazuri ili kuweka makampuni yao ya kimaslahi au watu wapigaji.
ninafuatilia baadhi ya dayosisi wanazotarajia kufanya hvyo kuna siku nitazianika hapa.wao wanahisi hawajulikani but waumini ,watu wema ,watu wasiojulikana na Serikali inajua alpha na Omega.
kuna wave ya figisu ndani ya KKKT na imeshajulikana ...wote wanayofanya na wanayotarajia kuyafanya.
baadhi ya wanaoengeneer hayo ni watumishi wastaafu wa Serikali waumini wa kanisa hili...hii haina afya katika kanisa hilo !
#EVERYONE IS WATCHED AT EVERY ANGLE
BWANA YESU ASIFIWE!