M Maalim skido Member Joined Jul 12, 2015 Posts 6 Reaction score 1 Sep 1, 2015 #1 Kwanini askari magereza na polisi wanafanya kazi katika mazingira magumu?. Kwanin wasiongezewe mishahara na posho? Kwanni posho ambayo serikal ilipanga kuwapa hawapewi? Sasa kwanin kusiwe na mabadiriko? Kwanin wasipige kura kuleta mabadiliko?
Kwanini askari magereza na polisi wanafanya kazi katika mazingira magumu?. Kwanin wasiongezewe mishahara na posho? Kwanni posho ambayo serikal ilipanga kuwapa hawapewi? Sasa kwanin kusiwe na mabadiriko? Kwanin wasipige kura kuleta mabadiliko?
P Prosoo JF-Expert Member Joined Aug 9, 2015 Posts 471 Reaction score 167 Sep 1, 2015 #2 Mkuu askari wote wana daftari maalum ambalo wanaandika namba za vitambulisho vyao hlf kura zinaingizwa moja kwa moja CCM.
Mkuu askari wote wana daftari maalum ambalo wanaandika namba za vitambulisho vyao hlf kura zinaingizwa moja kwa moja CCM.