kuhusika ama kutohusika kwa ccm kutatokana na tafsri ya mtu husika, pengne kawaza kwamba uongozi mbovu ndio uliomuweka askar mbovu aliethubutu kumwambia mtu asukume lori lililoknock engine..LAKINI kwanini wananchi wampge askar, je? Alkuwa anamlazmisha dereva kwa kumpga au kwa maneno? Je gari hlo limekaa hapo kwa muda gani? Ni wananchi wangapi wamempga askari mmoja? Sababu ya kumuonea pekee bila kuambatana na taarifa nyngne haina mashiko. Askari ni bnadam na sidhan kama pale alimwambia aondoe gar ili yeye (askari) aptshe gar lake bali wananchi.