viingereza vyao kwakweli ni matatizo, rafiki yangu wa kigeni alienda kumnunua mmoja wakati wanaongea yule binti akasema 'you hit me' akimaanisha 'you heard me', rafiki yangu mgeni alikasirika sana akataka amdunde ngumi maana alikuwa tayari ameshapata mbili tatu, akaanza kulalamika kuwa kahaba anamsingizia kampiga wakati hata hajamgusa! hao ndo unasema wasomi? Wengine ni hulka yao tu hasa videnti vya darisalama, wengi wao wale wa vyuo vyuo ni vikahaba vizuri tu, so wakati anasubiria ajira pengine inabidi aweke mashine sokoni ili kusurvive