...
Jamaa akawa onyesha tu baada ya' WC' huyo kicheche wala amtishi, alivyotoka tu SA break yake LA. ...Nasikia akaonyshwa hiyo mipicha sistaduu ...mbio hospital mara tena malaria...
Unataka afanyaje na ni mi-change anayo si unajua inakua ubwete, kwanza kataka kuhama na nchi kabisa mshikaji wake ilikuwa amvute aka-chill hapo madrid jamaa wamekata hiwe hivyo. Sasa mtu alikua anataka kuhama na nchi kuna ndoa tena hapo kwenye kichwa chake. Huwezi kumlaumu inakuwa kama alioa mke na tabloid zote.kwa mtaji huo jamaa ni kama mamba vile eh...anapanua mdomo na kumsubiria mamaa ajimalize kwa divorce; kisha aendeleze msururu wa vimwana...
sasa anafanya nini na mke wa watuMr Hough wanasema sio risiki
sasa anafanya nini na mke wa watu
I doubt kama kulikuwa na malaria kwenye kuzimia kwake (ok may be partly to blame) hila utawaweza wazungu na unafiki wao, si walijifanya kutoa mipicha ya holiday ya sistaduu wakati anaenda bongo na huyo new fella.
Jamaa akawa onyesha tu baada ya' WC' huyo kicheche wala amtishi, alivyotoka tu SA break yake LA. Wakajichuza kuweka mipicha ya Ashley na vijibwa pool side jamaa ndio kwanza hana hata habari na ndoa tena. Nasikia akaonyshwa hiyo mipicha sistaduu wakati yuko photo shoot ndio kuzimia papo hapo mbio hospital mara tena malaria.
Kwanza ni yeye so far sistaduu ndio ana hold kumalizia hiwe divorce, ukweli wenyewe ni kwamba Cherly ana force-wa tu na media pressure hila ki kweli ana mzimia jamaa, anyway thats my opinion. Hila wameacha tena kuweka picha za Ashley na wanawake, wamebaki wanamponda na magazeti kwa namna zingine.
Unataka afanyaje na ni mi-change anayo si unajua inakua ubwete, kwanza kataka kuhama na nchi kabisa mshikaji wake ilikuwa amvute aka-chill hapo madrid jamaa wamekata hiwe hivyo. Sasa mtu alikua anataka kuhama na nchi kuna ndoa tena hapo kwenye kichwa chake. Huwezi kumlaumu inakuwa kama alioa mke na tabloid zote.