Ashley na Cheryl Cole: nani mzinzi zaidi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ashley na Cheryl Cole: nani mzinzi zaidi?

Discussion in 'Celebrities Forum' started by minda, Aug 20, 2010.

 1. minda

  minda JF-Expert Member

  #1
  Aug 20, 2010
  Joined: Oct 2, 2009
  Messages: 1,070
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  :argue: ashley cole na mkewe cheryl cole wameingia katika mzozo mkubwa wa kindoa sababu ikielezwa kuwa mwanaspoti huyo ni mzinzi na inasemekana ameshasamehewa na cheryl mara kadhaa.  :kiss: sasa inasemwa ya kuwa huyo dada naye kaamua kutoka live na mr hough mchana kweupe ambapo yasemekana utepe wa hilo penzi ulikatwa hapa tz alipotembelea zama za kombe la dunia huku ikisemekana kuukwa malaria ya bongo isiyokubalika na kuchungulia kaburi.  huyo dada sasa anamlaumu mumewe kwamba ndiye aliyeanzisha na na yeye sasa anamalizia na hivyo huyo mwanandinga awe mpole huku bibie akiapa kuomba talaka na kudai ashley ajilaumu mwenyewe kwa kuvunja ndoa yao.


  jamii ya kiingereza inaonekana kumpa shavu cheryl na kumpondea ashley kama disgrased husband.  kati ya hao wawili, yupi ndiye mzinzi zaidi?
  • ni ashey cole aliyeanzisha soo?
  • ni cheryl aliyeamua kulipiza na kuelekea kuvunja ndoa?
   
 2. Tonge

  Tonge JF-Expert Member

  #2
  Aug 20, 2010
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 696
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  wote tuuu
   
 3. NG'OTIMBEBEDZU

  NG'OTIMBEBEDZU JF-Expert Member

  #3
  Aug 20, 2010
  Joined: Aug 11, 2010
  Messages: 845
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  In a game of football anaelipiza ndiye huadhibiwa kwa card.Sasa kama huyu dada kaamua kulipiza,na kama kulipiza huko ndo tabia yake,basi atalipiza sana kwa vile hata hapo alipo panaweza kwenda kombo; kwa hiyo Cheryl ni zaidi maana anafanya makusudi!!
   
 4. Zogwale

  Zogwale JF-Expert Member

  #4
  Aug 20, 2010
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 11,613
  Likes Received: 825
  Trophy Points: 280
  Mkuki kwa nguruwe mtamu kwa binadamu ni mchungu!!!!???
   
 5. BelindaJacob

  BelindaJacob JF-Expert Member

  #5
  Aug 20, 2010
  Joined: Nov 24, 2008
  Messages: 6,060
  Likes Received: 475
  Trophy Points: 180
  mla huliwa!!
   
 6. Juma Contena

  Juma Contena JF-Expert Member

  #6
  Aug 20, 2010
  Joined: May 21, 2009
  Messages: 1,195
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  I doubt kama kulikuwa na malaria kwenye kuzimia kwake (ok may be partly to blame) hila utawaweza wazungu na unafiki wao, si walijifanya kutoa mipicha ya holiday ya sistaduu wakati anaenda bongo na huyo new fella.

  Jamaa akawa onyesha tu baada ya' WC' huyo kicheche wala amtishi, alivyotoka tu SA break yake LA. Wakajichuza kuweka mipicha ya Ashley na vijibwa pool side jamaa ndio kwanza hana hata habari na ndoa tena. Nasikia akaonyshwa hiyo mipicha sistaduu wakati yuko photo shoot ndio kuzimia papo hapo mbio hospital mara tena malaria.

  Kwanza ni yeye so far sistaduu ndio ana hold kumalizia hiwe divorce, ukweli wenyewe ni kwamba Cherly ana force-wa tu na media pressure hila ki kweli ana mzimia jamaa, anyway thats my opinion. Hila wameacha tena kuweka picha za Ashley na wanawake, wamebaki wanamponda na magazeti kwa namna zingine.
   
 7. Salha

  Salha Senior Member

  #7
  Aug 20, 2010
  Joined: Jun 21, 2010
  Messages: 121
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Muosha huoshwa pia
   
 8. minda

  minda JF-Expert Member

  #8
  Aug 20, 2010
  Joined: Oct 2, 2009
  Messages: 1,070
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135


  kwa mtaji huo jamaa ni kama mamba vile eh...anapanua mdomo na kumsubiria mamaa ajimalize kwa divorce; kisha aendeleze msururu wa vimwana...
   
 9. Juma Contena

  Juma Contena JF-Expert Member

  #9
  Aug 20, 2010
  Joined: May 21, 2009
  Messages: 1,195
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Unataka afanyaje na ni mi-change anayo si unajua inakua ubwete, kwanza kataka kuhama na nchi kabisa mshikaji wake ilikuwa amvute aka-chill hapo madrid jamaa wamekata hiwe hivyo. Sasa mtu alikua anataka kuhama na nchi kuna ndoa tena hapo kwenye kichwa chake. Huwezi kumlaumu inakuwa kama alioa mke na tabloid zote.
   
 10. babu M

  babu M JF-Expert Member

  #10
  Aug 20, 2010
  Joined: Mar 4, 2010
  Messages: 3,993
  Likes Received: 1,002
  Trophy Points: 280
  Wakristo wanaamini alichokiunganisha Mungu binadamu awezi kukitenganisha,kwa maana nyingine mkisha funga ndoa mauti ndiyo yatawatenganisha.Ikitokea mmoja wenu akatenda tendo la ndoa zaidi mume au mke ni Mzinzi

  Ndoa za kiserikali ni tofauti mkisha divorce unaweza kufanya ngono na mtu yoyote na sio Mzinzi kama wanavyoamini wakristo.

  Ashley na Cheryl ndoa yao niya kiserikali, kwa sababu walishatangaza kutengana na Wamesha file divorce wanachukuliwa kama single (naomba kusahihishwa) kwa tafsiri hii inamwondoa Cheryl kwenye uzinzi na kumwacha Ashley ambaye alicheat.

  Mimi ninaamini Cherly kumwoa Asherly ilikuwa ni kujisafisha na ile kashfa ya Ubaguzi.
   
 11. babu M

  babu M JF-Expert Member

  #11
  Aug 20, 2010
  Joined: Mar 4, 2010
  Messages: 3,993
  Likes Received: 1,002
  Trophy Points: 280
  Mr Hough wanasema sio risiki
   
 12. M

  Mundu JF-Expert Member

  #12
  Aug 20, 2010
  Joined: Sep 26, 2008
  Messages: 2,719
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  Hivi definition ya uzinzi ni kitu gani?

  Kwa sababu kadha wa kadha kuna jamaa mmoja aliruhusiwa na mkewe akapate kwa demu yeyote wa nje mara moja tu. Na jamaa akaenda kupata kiulaini. Je, nao ni uzinzi huo?
   
 13. Juma Contena

  Juma Contena JF-Expert Member

  #13
  Aug 20, 2010
  Joined: May 21, 2009
  Messages: 1,195
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  sasa anafanya nini na mke wa watu
   
 14. babu M

  babu M JF-Expert Member

  #14
  Aug 21, 2010
  Joined: Mar 4, 2010
  Messages: 3,993
  Likes Received: 1,002
  Trophy Points: 280
  Kabla ya ku separate media walishakuwa wameanza kutia shaka uhusiano kati ya Saimon Cowell na Cheryl na hii ilisababishwa
  1)Simon alishaulizwa na Holly Willoughby(presenter) kama kuna mwanamke yoyote ambaye anamfancy ,alisema Cheryl .
  2) Cheryl alishadai Simon alikuwa anampigia simu hata midnight kumuuliza hatavaa nguo gani siku inayofuatia
  3) Danii Minogue alishalalamika X-factor -ambayo Saimon ana share kubwa- wanampendelea Cheryl kwa kumuongezea mshahara,kumtengea fungu kubwa la nguo na kutomwamisha karibu na Saimon wakati yeye na judge mwingine wamekuwa wanaamishwa.

  Cheryl baada ya kuseparate na Asherly alijua media wataanza kujenga stories za kweli na uongo kuhusu yeye na boss wake na ingedamage Show, kuepuka na hiyo ni kuwa kwenye relationship na ndiyo maana hata News of the world walipoandika kuhusu Ashley kucheat Saimon after a few days alikwenda kwenye media kumwonyesha girlfriend wake.

  Mr Dough yeye ana enjoy 15 minutes of fame labda na pesa pia .Unajua mzungu anaweza kufanya kitu chochote ilimradi awe kwenye front cover ya news paper,kwa ku dance asingeweza kupata attention anayoipata sasa hivi kwenye media
   
 15. Juma Contena

  Juma Contena JF-Expert Member

  #15
  Aug 21, 2010
  Joined: May 21, 2009
  Messages: 1,195
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  babu M
  THIS is the moment Cheryl Cole collapsed with the first signs of malaria in shocking X Factor audition scenes to be shown tonight.
  The 27-year-old ITV talent show judge fell ill during filming in Cardiff.
  She bravely carried on - but was rushed to hospital the next day after fainting at a photoshoot.
  The dangerously poorly Geordie - unaware she had the disease - had just told Simon Cowell: "I don't feel well at all."

  She added: "I am definitely coming down with something."
  Worried Simon, 50, had asked "Are you ill?" before frail Cheryl, 27, was helped from the panel where she had been judging X Factor auditions.
  She was taken to a sofa backstage where she wrapped herself in a green hoodie and then appeared to go out cold.
  Just a day after the dramatic interruption to the Cardiff auditions on July 2, Cheryl was rushed to hospital after collapsing at a photoshoot.
  Doctors discovered she had picked up potential killer malaria on holiday in Tanzania.
  Footage of her collapse as well as these shocking scenes of her first signs of illness will air for the first time tonight on the ITV series' return at 7.30pm.
  Cheryl spent nearly two weeks under medics' care before recovering at home, and had to pull out of the show's boot camp stage. But incredibly, the trouper got UP from the sofa to return to her judging duties.
  The session - alongside fellow judges Simon, Louis Walsh, 58, and singer Pixie Lott, 19, standing in for Dannii Minogue - lasted long into the evening.
  Even before she was struck down, the beauty had already been feeling fragile after her public betrayal by love-rat husband Ashley, 29.
  But during auditions, The Sun can reveal that she discovered a tower of strength in the support of fans who bayed INSULTS about the cheat.

  Well-wishers screamed "He's a scumbag" and "He doesn't deserve you" - while others just roared their approval.
  Cheryl looked close to tears as she soaked up the cheers.
  The Girls Aloud star split with Chelsea footballer Ashley in February after The Sun revealed that he had bedded a girl and sent filthy texts.
  Even Simon was moved by how the fans lifted her spirits.
  He said: "Look at this lot. They love Cheryl. It's great to have such a supportive crowd."


  http://www.thesun.co.uk/sol/homepage/showbiz/tv/x_factor/3105408/Cheryls-X-Factor-collapse-caught-on-camera.html#ixzz0xDhlFxVg

  MY TAKE
  wanao nijua na sio wanaonisikia wanasema mi ni mganga tazama nilichoandika jana alafu soma gazeti la leo.
   
 16. minda

  minda JF-Expert Member

  #16
  Aug 23, 2010
  Joined: Oct 2, 2009
  Messages: 1,070
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135


  kiwembe handsome....
   
 17. minda

  minda JF-Expert Member

  #17
  Aug 23, 2010
  Joined: Oct 2, 2009
  Messages: 1,070
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135


  hiyo ni ngono uzembe almaarufu zinaa.
   
Loading...