Ohh thanks Alby(I hope you don't mind me calling you that). . . . KARIBU sana na wewe utupe maujuzi yako tubadilishane.
Me sio mzungu plato ila nilitaka kuweka picha nikaambiwa
hatuweki picha halisi humu
Hahahaha.. . . .Karibu mwaya. . .Wow,asante kwa nick name nzuri lizzy,i never thought of it kabla ndo lingekua jina la JF instead haha.
Tuko pamoja
Halafu Lizzy weye kila napoenda upo..kitambo kidogo ulikuwwa kwa mangi muda huu tena upo hapa,au ni ka positive coincidence?
Mi niko kila mahali Plato. . .kama wewe tu ulivyokuwepo kule na huku upo.
Kwa hiyo unataka kusema nikitoka hapa kwenda kutafuta kitimoto nawe utakuwepo....una masihara aisee
Moderators wanachangia swala la watu kuwa na multi ID, Nataka kufunguwa za kwangu 5 na nitakuwa na IP 7.karibu......
but wewe ni mpya kweli au id nyingine hii??????
Moderators wanachangia swala la watu kuwa na multi ID, Nataka kufunguwa za kwangu 5 na nitakuwa na IP 7.
Mimi ndio mama muuza. . . what do you expect?
Niseme nini tena..mate yanachezacheza
Jamani! mimi na wewe ni 14 Februaly ni kwa nini niangaike na Pm! Hao wakwale wanaokusumbuwa wataishia kula kwa macho tu.Weeee. . . usikute wale watu wanne waliokazana kunitongoza wanakuhusu. . .?!
Jamani! mimi na wewe ni 14 Februaly ni kwa nini niangaike na Pm! Hao wakwale wanaokusumbuwa wataishia kula kwa macho tu.
By the way umenifundisha kitu katika zile ID 5 moja itakuwa ya kike ili kuwachukulia vocha wanaume na Internet bundle, maana ID hio nitaweka Avator ambayo si ya kawaida na wakwale wote watajuwa ndio mimi.