Asanteni kunikaribisha

SHIEKA

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2011
Posts
8,240
Reaction score
4,280
Nawashukuru waungwana wawili,Never give up na Katavi kwa kuninyooshea mikono miwili na kunikaribisha JF. Kidogo najisikia kujiamini.Nina swali hata hivyo na sijui kama kwenye safu hii ndo pahala pake.Nauliza hivi😛icha yangu ya utambulisho nitaiingizaje humu? Picha ninayo gundi pia ipo.Hata mkasi mdogo upo. Je, ntafanyaje kuinatisha humu?Naomba msiende mbali sana katika kunijibu na zingatia kwamba mimi ni mtu napenda sana utani. Nitashukuru kupata maelezo na nawatakieni nyote Happy Christmas and Happy New Year! Long Live JF!
 
Karibu tena mkubwa.
pale juu click settings na utaona my settings halafu bonyeza pale pameandikwa edit avatar na uweke uitakayo.
Kila la kheri
OTIS
 
Welcome sana, bandika tu hiyo photo yako.
 
picha unayo, mkasi,na gundi! lete nikusaidie kuibandika sawa! ili ujione vizuri!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…