youngsharo
JF-Expert Member
- Jan 8, 2015
- 2,491
- 500
No more no less.
Ccm wamebaki wasanii tu
Mimi ukimuweka shetani na ccm nachagua shetaniyaan naichukia ccm.
Ni bora kuipa kipaumbele chupi iliyoblidiwa kuliko Sisiem.
Tatizo kubwa ni CCM machinery inavyoendesha kampeni ya mwaka huu. Kejeli na kinachoonekana kuwa matusi kwa wapinzani wake kunawakera wengi na kupunguza kura za Magufuli. Watanzania wako sensitive na matusi, kejeli na dharau, kura nyingi zinapotea kwa kumsema fulani yuko hivi au fulani ameji..e!
Kweli ssem mwaka huu sio wenu, mkajipange upya
Mimi ukimuweka shetani na ccm nachagua shetani