Kuna bidada mmoja wa South Africa nimewasiliana naye hivi karibuni nikalike picha zake nyingi kwa mkupuo!
Sasa wataalamu wa Instagram au ndiyo sijui wanaita mitambo yao inayotumia artificial intelligence wakaona lazima ntakuwa nawazimia sana hawa mabinti wa Kisouth. Sasa kila nikifungua Instagram page nzima ni watoto wakali hatareee.
Kuna vitu vichache ambavyo kwangu nikiviona au kuviexperience najua uwepo wa Mungu hauna mashaka. Moja ya mambo hayo ni pale ninapomuona binti mkaliii. Tuache utani jamani, kuna wanawake wazuri hadi ukiwaona akili inafreeze. Aisee!!
Mada hii haina uhusiano na uovu wa aina yoyote Ni kutambua tu asali hizi za macho!
.......Sielewi kwa nini post hii ilifutwa mara ya kwanza nilipoileta lakini nimeweza kudukua server na kuipaisha tena......