ha ha ha ha nyuki wa dogo 2000????//.......... dah kweli shida. kaka asali yangu original kabisaaaa haina manyau nyau au imechanganywa na kitu. nipo Dar nakutumia fasta tu kwenye kisbo