Asali mbichi kutoka tabora

Chungu cha bibi

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2014
Posts
525
Reaction score
166
Habari..asali mbichi ya nyuki kutoka tabora inapatikana haijachanganywa na kitu chochote.

Bei ni elfu 11 kwa lita..ukitaka lita zaidi ya tano bei inapungua kidogo.

Napatikana dar kwa mawasiliano nicheki kwenye namba 0674003082 au 0766849951.

Asanteni wote mnakaribishwa.
 
una ya nyuki wadogo!?shing ngap kwa litre!?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…