Asali mbichi kutoka tabora na katavi

joldy sharsh

Member
Nov 2, 2017
36
19
Tunauza asali mbichi
Tumia asali mbichi kila siku kwa afya njema
Asalimbichi ya nyuki wadogo na wakubwa kutoka tabora na katavi
lita moja 12,000
nusu lita 6,000
robolita 3,000
 
Attachments

  • Screenshot_20190720-190720.jpeg
    53.5 KB · Views: 33
Binafsi nimeshakoma kununua asali kwa wanaotembeza mtaani! Niliuziwa lita moja nikatumia siku 3 ikaganda! Baadae nikagundua ni asali kidogo imechanganywa nta na na sukari! Bora nikanunue iliyosindikwa kiwandani.
 
Hatari
 
Boss sio kila mtu yuko hvyo ata kuonja unaruhusiwa ukiona kuna tatizo unarudisha siuzi kwa siku moja ila nimewekeza kila kitu ili kujijengea brand kubwa karibu ujaribu ili uwe mfano mzur kwa wengine
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…