J JIWE2 Senior Member Joined Sep 17, 2010 Posts 125 Reaction score 18 Dec 26, 2013 #1 Napenda kuwajulisha kwamba asali mbichi kutoka mkoa wa Katavi inapatikana kwa wingi, bei ni Tsh 200,000/- kwa lita 20. Inauzwa kwa jumla na bei inazungumzika. Kwa anayehitaji tafadhali ni-pm. Nawasilisha.
Napenda kuwajulisha kwamba asali mbichi kutoka mkoa wa Katavi inapatikana kwa wingi, bei ni Tsh 200,000/- kwa lita 20. Inauzwa kwa jumla na bei inazungumzika. Kwa anayehitaji tafadhali ni-pm. Nawasilisha.