M manyusi JF-Expert Member Joined Mar 3, 2009 Posts 292 Reaction score 170 Dec 25, 2013 #1 Habari wana jamii kwa wanaohitaji asali ya Tabora wasiliana na Yusuph 0787115911 inapatikana kwa wingi
Habari wana jamii kwa wanaohitaji asali ya Tabora wasiliana na Yusuph 0787115911 inapatikana kwa wingi
TANMO Platinum Member Joined Apr 12, 2008 Posts 12,180 Reaction score 12,987 Dec 26, 2013 #2 Yusuph unapatikana wapi? Hiyo asali unauza bei gani Yusuph? Usiwe kama mwenzio Yahaya mpaka leo hajulikani anaishi wapi...
Yusuph unapatikana wapi? Hiyo asali unauza bei gani Yusuph? Usiwe kama mwenzio Yahaya mpaka leo hajulikani anaishi wapi...
alohadm JF-Expert Member Joined Dec 23, 2013 Posts 360 Reaction score 159 Dec 26, 2013 #3 watu wengne bwana hawajui biashara yan wanataka wauliiizwe ndio waweke bei.weka bei na mahal ulpo bwana.
watu wengne bwana hawajui biashara yan wanataka wauliiizwe ndio waweke bei.weka bei na mahal ulpo bwana.
Emma Lukosi JF-Expert Member Joined Jul 22, 2009 Posts 929 Reaction score 149 Dec 26, 2013 #4 Wasiliana nami napatikana All over. lita 1 = @ 10,000 lita 5 = @ 45,000 lita 20 = @ 160,000 0713 33 8342 text lukosiemanuel@gmail.com Karibu
Wasiliana nami napatikana All over. lita 1 = @ 10,000 lita 5 = @ 45,000 lita 20 = @ 160,000 0713 33 8342 text lukosiemanuel@gmail.com Karibu
YouTube JF-Expert Member Joined Jul 24, 2012 Posts 936 Reaction score 363 Dec 26, 2013 #5 hakuna kinakera kama mtu kuweka tangazo halafu namba haipatikani. manyusi said: Habari wana jamii kwa wanaohitaji asali ya Tabora wasiliana na Yusuph 0787115911 inapatikana kwa wingi Click to expand...
hakuna kinakera kama mtu kuweka tangazo halafu namba haipatikani. manyusi said: Habari wana jamii kwa wanaohitaji asali ya Tabora wasiliana na Yusuph 0787115911 inapatikana kwa wingi Click to expand...