Walleykum salaam!!
Insha Allah Sheikh! Mnyazi Mungu Subhana wa taallah akujalie kheri upate binti mzuri, wa haja na aliyeishika vilivyo dini ya Mtume wetu Muhammad S.A.W.
Na ukifanikiwa kumpata mmoja, basi usisahau pia kuongeza wengine watatu kadiri Allah atakavyo kujalia afya na mali tele! Hiyo ni Sunna bila shaka.