Wadau,
Matikimaji bado yanapatikana. Zaidi ya hayo ya duara zebra, yapo pia ya duara-meusi na zebra yenye shepu ya yai.
Mnakaribishwa sana kwa mahitaji yenu ya jumla na rejareja.
Asante mkuu.
Bei yetu sisi ni halisi kabisa ya mtanzania wa kawaida.
Kwa rejareja tunauza kuanzia: TZS 500 kwa madogo, na makubwa kabisa yale oversize (extreme) tunauza TZS 2,500.
Kwa wale wa jumla tunauza kwa TZS 500 / kilo kama bei elekezi. Mteja akichukua mengi tutaangalia jinsi ya kumpa discount.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.