Habari wanajukwaa;
Kama kichwa cha habari kinavyosomeka ninahitaji computer desktop kwa ajili ya watoto kujifunzia. Budget ni 200,000/=tzs.
Kama unayo nicheki kwa namba 0765-741-591Kwa kutuma picha. Walioko arusha nitawapa kipaombele.
Kama ipo amabayo ni quality zaidi kwa bei ambayo pia ni affordable nicheki tuzungumze. Ila isizidi 300k