dallazz Senior Member Joined Aug 6, 2011 Posts 106 Reaction score 14 Mar 6, 2012 #1 ni wakati wenu sasa wakazi wa arumeru kuiambia dunia kwamba "hatudanganyiki" (kupitia sanduku la kula), mmedanganywa kwa muda mrefu, sasa chukueni hatua.
ni wakati wenu sasa wakazi wa arumeru kuiambia dunia kwamba "hatudanganyiki" (kupitia sanduku la kula), mmedanganywa kwa muda mrefu, sasa chukueni hatua.
Joseph JF-Expert Member Joined Aug 3, 2007 Posts 3,518 Reaction score 1,090 Mar 6, 2012 #2 Wanajua cha kufanya na wamekwishachukua uamuzi hata kabla CCM hawajaanza mchakato wa kutafuta mtu wa kugombea.
Wanajua cha kufanya na wamekwishachukua uamuzi hata kabla CCM hawajaanza mchakato wa kutafuta mtu wa kugombea.