N nickhubert Senior Member Joined Jun 17, 2015 Posts 113 Reaction score 25 Jun 6, 2016 #1 Arsenal wameanza mazungumzo na Leicester City kuhusu uhamisho wa Riyad Mahrez 25, baada ya kufikia makubaliano ya kumsajili Jamie Vardy, 29. (Sun) Washika bunduki hao wanaimani Vardy atasaini kabla ya michuano ya Euro 2016 haijaanza ifikapo Ijumaa.
Arsenal wameanza mazungumzo na Leicester City kuhusu uhamisho wa Riyad Mahrez 25, baada ya kufikia makubaliano ya kumsajili Jamie Vardy, 29. (Sun) Washika bunduki hao wanaimani Vardy atasaini kabla ya michuano ya Euro 2016 haijaanza ifikapo Ijumaa.
BlackPanther JF-Expert Member Joined Nov 25, 2015 Posts 9,334 Reaction score 8,813 Jun 6, 2016 #3 Safi sana kijana wetu wa Africa..mafanikio yako yameonekana..hivyo ingependeza zaidi Man city
R rodrick alexander JF-Expert Member Joined Feb 12, 2012 Posts 17,296 Reaction score 24,188 Jun 6, 2016 #4 wenger anafikiri akiwabomoa leicity city atahamishia mafanikio yao kwake anaota ndoto ya mchana