tumesubiri sana hatimaye second leg limechezwa leo na mtoto amekaa tena
arsenal ameamizwa tano kama mwanzo.
naona arsenal ana record mbaya ya kufungwa na bayern na hizi ni baadhi ya jamvi zilizopo hapa JF
Klik link hiyo juu kutazama magoli yote 5
Mimi ni shabiki mkubwa wa Arsenal, kiukweli nilitaka tupigwe hata 20-2 ili huyu mzee afukuzwe Arsenal, kwa magoli hayo kumi najua sasa lazima atafukuzwa tu, maana huyu mzee alizidi sana na uchumi wake, hata wachezaji wamekwisha mchoka.