Arsenal vs FC Barcelona

masikini akipata, ...........................................

halali usiku mzima
 
Hatuna ila hakuna linaloshindikana kwa ARSENAL!!!!!:laugh::laugh:

hv kwanini anakuumiza kichwa huyu kama kushnda 2meshda tena co kwa kubahatisha mana walianza wao cc kuwaonyesha ni wanaume 2kachomoa na 2kawaongeza sasa kunanini tena michelle achana nae huyu ni M2 UNITED hvyo roho inamuuma mana wao wamezoea kubebwa kama yanga bongo hapa
 
kaka tuache utani sidhani kama dakika 70 za mwanzo ulikuwa na tabasamu usoni
 
kaka tuache utani sidhani kama dakika 70 za mwanzo ulikuwa na tabasamu usoni

kwan tatzo lilikuwa wap kama ni pas hata sisi 2licheza pas na mbwembwe kibao mpra magol na co mbwembwe wao walifikir Ness oops Mess wao ataonekana mm nika mpa SONG anikabie kimya ndo ukae ukijua kila mbuyu una shetan wake
 
bora we ummeliona bana ile si off side kabsaaa

yakufaa uwe mpenzi wa mpira na sio shabiki wa mpira.ina macho ya refa pamoja na wasaidizi wake ni makengeza?au sio.kuwa fair ndg yangu maamuzi yale ndio sahihi na ile ni off side
 
Tatizo washabik wa man u mnachonga sana haya sasa barca ndo hao wamedundwa goli 2 kwa 1 sasa mmebadili usemi mnasema tutakiona cha moto camp nou. Ukweli ni kwamba barca hana chake mbele ya the gunners msimu huu. Michelle shusha pressure ushindi ni wetu.
 
Amen mkuu....ushindi mkubwa ule.....:hand:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…