Chelsea anabamizwa asubuhi tu kwa sababu wana mchezo ambao Arsenal wanaweza kuuhimili. Nataraji magoli kadhaa ya arsenal ktk mtindo wa counter attack, hii itatokana na Chelsea kupenda umiliki wa mpira lakini madhara hafifu kwa mpinzani. Kingine kitakachoipa ushindi Arsenal ni FOWARD LINE ya Aubameyang na Lacazette aisee! Hawa jamaa ni LETHAL