Rockcity native
JF-Expert Member
- Dec 31, 2012
- 2,176
- 1,472
Gooners bwana....spurs mwendo mdundo safari hii, mechi ya Liverpool na Fulham tumeharibu kwa sababu ya uchovu wa Europa League. Subiri mechi ya swansea uone moto, bale anarudi kushoto Lennon atakuwa amepona,Holtby anacheza kumi, Dembele anarudi kati. Mwakani nyie ni Europa tu.
hahahahaha spurz kwangu nishazoea kumtanguliza na baiskel ya baraf jua likianza tu inayeyuka..
Tusijifariji kwa nafasi ya CL,we need tropies in our cabinet,period.........
....yaaani; mmeisha jizila mpaka mnaanza kufikiria mtapataje nafasi ya nne(4)...ni lini mtaanza kuwa na ndoto za kufikiria kuchukua Ubingwa???Wale washika bunduki wenzangu msihofu pengo la point 4 toka kwa totenham. Bado 2na kiporo, tukishnda inabak point moja ambayo naamin kwa game ngum walizonazo totenham kuanzia swansea,evaton,mancity had chelsea sina shaka nafas ya 4 ni yetu
....yaaani; mmeisha jizila mpaka mnaanza kufikiria mtapataje nafasi ya nne(4)...ni lini mtaanza kuwa na ndoto za kufikiria kuchukua Ubingwa???
ni ya ukweli Tweeter inatimiza miaka 7 lakini hakuna member hata mmoja aliye tweet Arsenal kuwa bingwa je hii ni timu au mpapai dume hata mkaa haupati....yaaani; mmeisha jizila mpaka mnaanza kufikiria mtapataje nafasi ya nne(4)...ni lini mtaanza kuwa na ndoto za kufikiria kuchukua Ubingwa???