JAYJAY JF-Expert Member Joined Oct 31, 2008 Posts 8,964 Reaction score 9,463 Jun 3, 2010 #1 wadau mara nyingi nimeona watu wakiadhimisha arobaini ya mtu aliyefariki, je hii ni tamaduni au ni mafundisho ya dini? je jamii nyingine duniania wana utaratibu huu?.
wadau mara nyingi nimeona watu wakiadhimisha arobaini ya mtu aliyefariki, je hii ni tamaduni au ni mafundisho ya dini? je jamii nyingine duniania wana utaratibu huu?.