Hawa watu vipi lakini?? kwani hili shirikisho si tushalikataa? sasa wanalazimisha? kwa nini? sababu mojawapo ya watanzania ku tolea nje hili suala ni kwamba hatuna imani na watawala wetu...wametuuza sana na wanaendelea kutuuza
mengi ya maamuzi yao yanalenga kwenye kuneemesha vitambi vyao and no where else...ndio maana hata hili shirikisho nahisi ni mchezo mchafu tu tunachezewa...they need to stop, they don't own this country and they are not supposed to, they should listen to us the majorities and we say no to the federation...hivo wanavyolazimisha ndio wanaharibu kabisaa