..hizo statistics hapo juu is something Watanzania should be very very concerned. Ninachoona hapo ni opportunity of taking a hold of our markets which are not working for us at this time.Statistics show that Kenyan exports to Tanzania grew from Sh22.3 billion in 2007 to Sh29.3 billion in 2008, an increase of 27 per cent.
Mkuu,Hello House members: Najiandaa kuchangia kuhusu hili suala la EAC Common market maana naona ni nyeti kwa mtanzania kama mimi. Smatta, Kagame ana sababu zake ku support fast tracking ya EAC, hasa za kisiasa - to diffuse Hutu and tUtsi tension in his own country. Karibia kila nchi ina vested interests zake ikiwa ni pamoja na overpopulation iin all other 4 so called member sates na jicho liko kwa Tanzania. We need time, it's our own country. Hawa majirani pia wanataka ku-off load their armies of unemployed when we have enough of our own. Mimi sitaki huu muungano hata kidogo, am only pro FDIs, not these empty handed job hunters from Kenya. Tanzanians, don't worry, generation ya good englsih speakers watakuwa wengi sokoni sasa hivi, maana Kenya ndicho wanacholingia. Sasa hivi the likes of St. Mary's International Schools are in plenty na wanaomaliza kule watakuwa wengi sokoni. I don't think we need Kenyans to come to compete for the fewer jobs that are created out of FDIs. Hatuhitaji mtu wa nje kuja kufanya kazi au biashara zinazoweza kufanywa na watanzania, huku ni kubeba mizigo na matatizo ya watu wengine. Na hiyo si kwa wakenya tu, ni pamoja na wachina na wengine wote, huu ni ujingam, sawa na mtu mwneye kipara kujitwisha gunia la misumari. Hapo sijasema ukabila na ubaguzi wa hawa majirani zetu. And they are already in, but it's at their own peril, siku watu wakifunguka macho..yatayotokea mtaniambia. Sisi tuna resources, hivyo tunahitaji FDIs wherever they may come from, ila si watu wa kuja kuzengea ardhi yetu kulima kwa jembe la mkonona kuanza kubanana. That we can manage on our own. Wakenya wanasema tunawachukia because of their superior education, why can't they use that education and craete jobs in their country. Mobona wamarekani na wajapan hatuwachukii, it is because they come with something, hawa wanegine ni kutuletea njaa zao tu. After all, taratibu za kuwekeza zipo wazi kupitia TIC. Tujihadhari, manake huko baadae, italeta hata umwagazi damu.
Moreover, if my memory serves me right, one member on this forum pointed out that, employers are comfortable with Kenyans and not Tanzanians...this is filthy, they should be able to work with whoever can do the jobs. Much as Tanzanian graduates may lack corporate culture or exposure ( and note it's just culture, not knowledge ),i don't believe that, out of thousands jobless graduates you can sieve and miss few who can do the job instead of relying on foreigners who won't make even a difference. After all, how many jobs are there kiasi cha kuhitaji wageni kwa kazi ambazo hazihitaji utalaamu mkubwa..i can only allow few of them. Walimu waje, kama kweli ni wazuri, waje ila nayo sina uhakika..ila walimu hawana madhara. Watanzania tuache kupapatikia watu wa nje na dhaifu kama wakenya, ambao pia ni maskini..hao wanaleta njaa zao. Mimi shida yangu ni FDIs tu..Kama ni ma-doctor au neuro surgeons, let them come, but again i don't think Kenyans have enough in their country. Yaani tukaribishe kile tunachokihitaji, siyo kufungulia floodgate where you end up with even cockroaches, snakes, snails and all kinds of mavi.
Huo ni mfano generic, unapofungua mlango wa maji, si vinakuja vitu vingi? Sikuita mtu yeyote kuwa ni cockroach! How can I be jelousy to someone i haven't invited. Siwezi kuwa na wivu kwa maskini mwenzangu, sijaona MMarekani au Mjapani anakuja kutafuta kazi Bongo kwa rates za hapa, huyo atakuwa amefulia. Hata hvyo Kswahili ni kigumu. Hata Kiingreza.
Smatta,
..kwanini Kenya haiungani na Ethiopia ambako kuna population/market kubwa kuliko Tanzania?
..if you ask me Watanzania prefer Mozambicans to Kenyans kwasababu tunaheshimiana, tunathaminiana, na tunaamini kwamba ni ndugu kutokana na recent history ya vita ya ukombozi.
You can fast track with Somalia, Ethiopia, and even Sudan, kwtu mnataka nini? Halafu mjua nyie mnaongoza kwa non tariif barriers for our even few manufactures destined to Kenyan market. Halafu aliyekwambia sisi hatuelewani na our Southern neighbors ni nani? Usituchagulie marafiki, we r not school kids.