Ardhi Advisor

tiansam

Member
Joined
Aug 8, 2014
Posts
12
Reaction score
4
.....
Kifungu cha 34(1)(a) cha sheria ya ardhi kinasema mkataba wwte wa kuhamisha umiliki wa ardhi (kuuza,kununua) au kuweka rehan ardhi utalindwa na sheria iwapo utakuwa ktk maandishi.
[HASHTAG]#NINI[/HASHTAG] KINAHITAJIKA SASA
1.Majina ya wahusika kwa kirefu.Epuka kuandika majina kifup mf A.J.KIPARA hata kama wapo 10.

2.Anuwan ya Muuzaji
Mf. Tian Sam,Moshi,Pasua,Msikitini Nyumba No.24 (+255 715 733 733). 3.Kuwepo na kifungu kinachoonyesha Nia ya kuuza na na uhalali wa Mmiliki.

4.Bei ya mauziano iandikwe kwa maneno na tarakimu pia ikiambatana na trh.

5.Kama pesa imelipwa yote au kwa kiasi kipengele kionyeshe.

6.Hadhi ya kiwanja/Nyumba kuhusu kodi ioneshwe. Mkataba uonyeshe kama kimelipiwa kodi ya ardhi (Land Rent) na kodi ya nyumba (Property Tax). Kama hajalipia huonyeshe ni nan atalipia.

7.Mali inayouzwa ichambuliwe vyema
Mf kama ni Nyumba /Kiwanja ieleweke na kipo wap! Mtaa,Kata,Tarafa,Kitongoji,Mkoa,Plot No_,urefu,Upana Majiran wa pande zote.

8.Kipengele kinachombana Muuzaji kutoa ushirikiano endapo mgogoro utatokea huko mbele. Kipengele hik n muhimu sana kwan endapo mgogoro utatokea juu ya ardhi hiyo muuzaj atakuwa ndio shahid wako wa kwanza bila ya kukudai posho kwan n moja ya makubaliano yenu.
9. Mashahid kuweka majina sahihi
Hapa nashauri kumtumia wakili kama unaweza inakuwa n vzr zaid.

10.Kubandika passport size ya muuzaji na mnunuzi.

11. Kuweka sahihi ya vidole gumba mbele ya majina Yenu .sahihi hii inashauriwa zaid kwan n vigumu kudanganya.

12. Mwisho mkataba uonyeshe ni nani atatatua mgogoro iwapo utatokea.Mf Endapo mgogoro utatokea kuhusiana na mkataba huu mahakama ya Ardhi ya Tz ndio itahusika na utatuzi wa mgogoro huu .

13.Lazima mtaalamu wa Ardhi arekod coordinate kwa kutumia kifaa maalumu ili kuepuka migogoro ya mipaka hata kama eneo halijapimwa

NB..Pia ni vyema kuchunguza mwenyewe kama eneo lipo katk makaz holela au limeshapimwa na kama limepimwa limepangwa kwa ajil ya kaz gan.

Kwa msaada zaid piga 0715-733-733

[HASHTAG]#PamojaTunawezaKupunguzaMigogoroYaArdhi[/HASHTAG].
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…