tufail pia na yy ka retire
Very sad aisee... Tatizo nae inaonekana aliikimbiza mnotufail gar imezingua so kaitengeneza ikashindwa kuendelea so wamebaki 15 hao ndo watakaoanza kesho asubuh kumalizia
Mkuu umemwona mzee Miller?? Huyu kesho anaweza kufanya wonders akamaliza wa kwanza.. Huyu Mzee hata yale ya mwaka jana day 1 alianza hivi hivi... Sema SUNNY nae ni balaa, ndiye alikuwa mshindi wa ligi ya taifa mwaka jana.. Kesho mpambano nauona kati ya Babu na SunnyKuna nini nyuma ya haya?
Jamil yeye alisema Day 2 ndiyo atanyoosha mguu.. Ila karata bado ipo kwa Babu Miller na Sunny kama gari hazitawaangusha..tufail alikimbiza sana radiator ikazingua ila kwa kesho ushind upo kwa miller,au pandya,jamil khan,gurjit,au sunny
Hayaonyeshwi kwenye TV mkuu... Labda kwa kukusaidia angalia Azam TV ile ya HD nadhani Jumapili saa 8 mchana huwa wanaonyeshaga haya mambo..Jm kwa cc tulip mbali channel gn wanarusha
Duuu cndo mambo ya recordedHayaonyeshwi kwenye TV mkuu... Labda kwa kukusaidia angalia Azam TV ile ya HD nadhani Jumapili saa 8 mchana huwa wanaonyeshaga haya mambo..
Jump of the DAY..
Jump of the DAY..
Babu huyo GMJust in end of last stage! Second place