Steph Curry
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 5,936
- 4,713
Umemsahau Gerald Miller huyo ndo all time champion... Anazeeka na ujuz wkeHuyu jamaa nishida sana sijui itakuaje! Natamani angekuwa na Subaru Evo X (Evo ten)
Dharam Pandya –
Manmeet Birdi (TZ-TZ/
Mitsubishi Evo IX)
Huyu jamaa nishida sana sijui itakuaje! Natamani angekuwa na Subaru Evo X (Evo ten)
Dharam Pandya –
Manmeet Birdi (TZ-TZ/
Mitsubishi Evo IX)
Last rally Moshi Subaru iliitesa sana Mitsubishi lakini wakongwe Miller na Pandya hawakushiriki... This timu watatia chachu timu MitsubishiHahahahaa naona ni Mitsubishi Vs Subaru Hahahahaaha ningepata hii taarifa mapema ningeenda kutizama
Eehhhh unialike kwenye mazoezi ukianza naweza kushawishika kuwa navigator wako[emoji3]Tunawatiakia heri mwanzo hadi mwisho na Usalama wao..... Next year name najitosa !!!!
Mmmmhhhhh......Eehhhh unialike kwenye mazoezi ukianza naweza kushawishika kuwa navigator wako[emoji3]
Babu vipi umeamka na mning'inio?Mmmmhhhhh......
Niko BagamoyoBabu vipi umeamka na mning'inio?
Sehemu gani?Niko Bagamoyo
Zinga hapa.... on my way....Sehemu gani?