natamani iran itie mguu kusaidia washia wenzie. mbona patakuwa patamu? wasiojua kuwa iran ni waoga ndio waangalie kwa hapa. wanaogopa kichapo balaa. kwanza waliogopa kumsaidia assad hata baada ya israel kutwanga kwa ndege damascus, sasaivi wanaogopa saudia balaa pamoja na kwamba iran inasapoti hao washia.