Aptitude Test

Samahani naomba niulize kwa wakuu, hayo maswali ya IQ yatakuwa ni yatumia lugha gani? swahili/english
 
Pia na past paper za iq naweza nikazipataje ili nizipitie pitie kidogo angalau nikapata chochote
 
Pia na past paper za iq naweza nikazipataje ili nizipitie pitie kidogo angalau nikapata chochote
Ungepata vitabu ndio vingekusaidia sana. Vinamaelezo ya maswali na jinsi ya kutatua maswali, yaani ni unaweza soma swali moja kwa kina likakusaidia kutatua maswali mengi tu ya aina hiyo.

Pastpapers ni utaishia kukariri maswali tu.
 
Jana tulifanya mitihani ya aptitude ulikuwa shule ya msingi kabsaaa ambapo angefanya mwanafunzi wa shule ya msingi kwakwel ingekuw ndio bahat yake yan maswala ya nyenzo daraja la ngapi. pia na maumbo
 
Ikiwa nahitaji kusoma long course ya computer inatakiw nipate asilimia ngapi ya mtihani wa aptitude
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…