Aptitude Test

Naona haikubali kuwa uploaded humu. Kama unahitaji basi nitumie namba yako inbox nikutumie kwa whatsaap

Sent from iPhone 9
 
Mkuu aptitude test hua ni general knowledge tu, Mimi nilifanya na PPF maswali yao ni knowledge tu!
1. Msajiri wa kwanza vya vyama vya siasa Tanzania alikua nani??
2. Nchi ndogo kabisa duniani ni ipi?
3. Mwendesha mashitaka mstaafu wa ICC ni nani, anatoka nchi gani?
4. Mtu wa kwanza kwenda mwezini ni nani?
5. Password kwa kiswahili
Na mengine mengi tu! So usitegemee kukuta maswali yote kua ya field yako!

Angalizo! Sio taasisi zote hutoa General! Wengine hua ni maswali ya field yako tu mwanzo,mwisho mfano European Union, UN!!

Narudi kijijini
 
Mimi nimewahi kufanya aptitude cocacola tulipewa picha na vikatuni vinavyofanana tutoe tofauti zilizopo, kifupi usijiandae saana ww nenda ukiwa sobber bila expectations zozote naamini utafanikiwa!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usiogope usiwaze ni test ya kukupima IQ yako tu nilifanyaga hiyo kitu maswali yalikuwa mia baada ya kumaliza paper walijua kila kitu kuhusu Mimi na kazi nilipata

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Guys kwa mwenye idea na aptitude test ya maumbo anielekezee maana nataka kwenda kujiunga na veta na nimeambiwa kutakuwa na mtihan wa maumbo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…