Ahsanteh boss kwa hiyo unaweza kutana na maths,maumbo,na ya explanation?Hongereni wadau.
Sijui kama aptitude test zinatakiwa kufanana ila jiandaeni na maswali tofauti tofauti, mpaka hesabu unaweza kuzikuta humo.
Mimi ilinikuta kampuni fulani hivi na hata post haikuhitaji hesabu.
Wanachopima ni uwezo wa kuelewa kwa haraka, kuwa sharp, na vitu kama hivyo.
Nilipewa karatasi ina maswali 50 na dakika nilizopewa ni 30Na muda unakuwaga vipi mkuu? Castr
Maumbo sikukutana nayo ila hesabu za sehemu, kugawa na zile za kutafuta umri wa mtoto.Ahsanteh boss kwa hiyo unaweza kutana na maths,maumbo,na ya explanation?
Hao jamaa akili zao wanazijua wenyewe. Usishangae wakati unasubiri majibu baada ya kufanya interview ukakutana na tangazo lingine tena wanahitaji watu katika nafasi zile zile ambazo nyie mmefanyia usaili na hawajatoa majibu.Habari za mchana! Wakuu nimepata Ujumbe muda si mrefu ambao ni kama ulivyo hapo chini ko mwenye uelewa kuhusu hizi test za hawa TPB(Tanzania Post Bank) anaweza nipa mwanga fulani japo nishapita google ila naona nahitaji mawazo zaidi.Ahsanteh
Greetings, TPB BANK PLC is pleased to invite you to attend an aptitude test for the post of Sales Executives, which will be held on Saturday 17.02.2018 at THE LAW SCHOOL behind Mawasiliamo Tower Sam Nujoma Road D' Salaam. The test will start at 09:00am. Pls Come with your Identity card
Welcome
Jamaa si watu wazuri kumbe hahaTPB ni wakuda sana
Aptitude zao huwa ni rahisi kwa mtu ambaye anafuatilia mambo ya duniani pia kwa mtu mwepesi wa kufikiria.
Ila tatizo lao huwa hawaeleweki kabisa. Wanaweza kufanyisha watu interview halaf wasiite tena watu kwa kuendelea na mchujo unaofuata.
Pia unaweza kufanya hizo test halaf ukitoka nje unaona tena tangazo lao wakitangaza nafasi hizo hizo
Ni kweli kabisaTPB ni wakuda sana
Aptitude zao huwa ni rahisi kwa mtu ambaye anafuatilia mambo ya duniani pia kwa mtu mwepesi wa kufikiria.
Ila tatizo lao huwa hawaeleweki kabisa. Wanaweza kufanyisha watu interview halaf wasiite tena watu kwa kuendelea na mchujo unaofuata.
Pia unaweza kufanya hizo test halaf ukitoka nje unaona tena tangazo lao wakitangaza nafasi hizo hizo
Ni wazinguaji, ila nenda na wewe kajaribu bahati yakoJamaa si watu wazuri kumbe haha
Hao jamaa ndivyo walivyoNi kweli kabisa
Mkuu kumbe na ww huna ajira??Doh ngoja waje nami nilitumiwa jana
Pia si kuna ishu za interest mkuu wangu kama huku unalipwa 50k ukipata kwa kulipwa 100k hapo huwezi omba boss wangu au sheria hairuhusu ebu nichambulie pengine sijui!!!Mkuu kumbe na ww huna ajira??