Xender , shareit , Airdrop ni app hatari sana kwenye simu ?
Nazani kichwa Cha habari kinajieleza au bado [emoji3] ujanielewa kama unatumia app ya Xender ifute sasa hivi maana ni app hatarishi sana kwenye simu au kompyuta unajua kwanini ?
App ya Xender ni moja wapo ya app maarufu duniani kwani watu huweza kufanya mambo mengi kupitia iyo app
โข watu huweza kutumiana picha
โข kutumia video
โข documents mbalimbali watu huweza kutumiana
โข ma file makubwa kwa madogo watu huweza kutumiana kwenye Xender
โข pia kutumiana apps mbalimbali nk
โข pia unatumia offline Wala akuna gharama zozote za kulipia kutumia hii apps
Lakini apps hii ni hatari sana kuwa nayo [emoji3] kwenye simu yako ikiwq ujui jinsi ya kujilinda na virusi au hackers ? Unajua kwanini
โข ukitumia app ya Xender ni rahisi mtu kuweza kupata virusi kwenye simu kwa njia ya kurushiana file , picha , documents , video nk.
Kwani sio Kila mtu anajali simu ivyo Kuna mtu inawezekana akawa Kila atakacho kiona mtandaoni anadownload , Kila link anafungua jua mtu Yuko kwenye hatari ya kukutumia virusi kupitia Xender
โข pia ni rahisi mtu kupata taarifa zako kwa kuwa wifi ysko inakua on pia location ivyo ikitokea unatumia app ya Xender mtu anaweza kukutumia app kuweza kufuatilia taarifa zako bila wewe kujua.
Ukitumia Xender jua uko nafasi kubwa sana ya simu yako kuweza kuathiliwa virusi pia app ya Xender Ina tabia ya kuchukua data za mteja na kuziuza ivyo kuwa Makini ukitumia Xender.
Alafu Xender ikitokea unatumia ukiwa offline jua ni rahisi kupata virusi kwa kuwa ant virus yako inakua offline ivyo Inashindwa ku detect na kujua [emoji724]
Utajilinda vipi [emoji3] sasa sio rahisi kujilinda ila ngoja nikuambie jambo lisije kukuta kitu ukalalamika unaweza kuwa salama kwenye Xender ikiwa kabla uja rusha ma file kagua kwanza akuna file la ajabu maana usije kurusha virusi [emoji724].
Ebu tuachie maoni yako ulikua unajua Ili au ndo tunakujuza ?
Teknolojia ni Yetu sote [emoji56]
View attachment 2165845