Apps Baada ya simu kuwa Rooted..

jamaa yuko sahihi kanshawish had nami nkaichomoa playstore kulaleki!
 

msaada custom rom ni nini? Unaiwekaje na ina faida gani?
 

Umetisha mkuu... Nimeyapenda haya maelezo yaaaani...
 

Duuh! Umetisha mkuu
 

Naomba kujua apps zinafanyaje kazi bila playstore
 
Naomba kujua apps zinafanyaje kazi bila playstore

Hata mimi nimeifuta, nikitaka app naingia Google nasearch app husika mfano instagram apk hapo utapata link kibao za kudownload then una install without playstore
 
Na vipi kuhusu virus, nasikia ukidownload apk app tofauti na play store uwezekano Wa kuingia virus na kuharibu simu Ni mkubwa...hii imekaaje?
 
mkuu ni app gani unatumiaaa kuroot simu yako.....

Nilitimia towelroot mkuu ikaleta app moja inaitwa kingroot ila ikawa bado haijakamilika vizuri mpaka leo ila nilifanikiwa ku uninstall app moja ivi ya kwenye simu. Ila ikawa baada ya mda flani inataka kumaliziwa kuwa rooted na inaonyesha ilikuwa inataka computer kumalizia kuroote.
 
me natumia huawei ascend y300 nimeiroot na nimeweza kuicustomize nipendavyo.
kwa kutumia application
1.'pimp my rom' nimeweza kutweek na kuinstall mods mbalimbali (n.b ii application inaweza kukuulia simu kama utaitumia vibaya) imeifanya simu yangu iwe faster sana.

2. '1Mobilemarket ii imeniwezesha kupata apps in apk format kwa haraka, piaina contains apps ambazo zipo cracked tayar, yan unadownload apps na games za kulipia buree kabisa (sio zote ilani nyingi) mf. mm nimedownload officesuit Pro, jetaudio Plus, Applock Pro. n.k bure kabsa.

3. Ifont ii imeniwezesha kubadili font za simu yangu kwa kuchagua aina yamaandish nnayoyapenda, pia nimechange font colour kwa baadhi ya apps

4. 'Adaway' hii inablock matangazo yoteyanayofanyika mitandaoni au kwenye apps mbalimbali, km hupendi matangazo ya aina hiyo, ii app ni lazima uwe nayo
5.'purify' hii inazuia autostart aps na apps ambazo zina run background hivyo inawezesha ku free RAM na kutunza chaji pia....

6. kwa kifupi ni hivyo..mambo ni mengi siwezi kuandika yote hapa,
 
Wadau mnifundisje jinz ya kuroote sim.Simu yangu aina ya Admet G3.nifanyej?
 
Rooting was meant for pros and those who want to do more with their phone. Kama hujui nini unataka kufanya baada ya kuroot, sidhani kama unahitaji kuroot.
 

Hebu nambie naondiaje hizo sounds
 
Kwa upande wa security mnajiweka kwenye hatari kubwa kwa kudownload apk kutoka site zisizoeleweka.

Wanachofanya watengenezaji wa malware na viruses ni kuchukua apk ya App maarufu kisha kuimodify kuongeza Adware na viruses kisha wanazisambaza kwenye hizi site za kudownload apk kwa vile mara nyingi hazina security checks zozote kama za Playstore.

So wewe unajiona umedownload Instagram kumbe watu washachomeka mavirus na malware, adware kibao.

Pia hapo mko root teyari, ukiwa root App inakuwa haina limits ya inachoweza kuifanya simu yako.

Kuondoa play store pia kunaweza kuaffect update za play services hizi ni services za google kama push na maps ambazo apps zengine zinazitumia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…