upo wapi ???? unafanyia kazizako wap ?ApplicationView attachment 828093
ApplicationView attachment 828093
Asa utatapeliwaje na mtu nimekwambia sipokei pesa yako mpaka nimalize application na nafanya we mwenyewe ukiwepo!!! Labda kama kutapeliwa kwako umezoea so kila umuonae kwako unamuona ni tapeli. Usikariri ndugu,utapata tabu sanaAwamu hii matapeli ni weng sanaa
Sawa sizonjeNina wasi wasi na akili yako,nilidhani hiyo comment utaielewa kumbe hamna kitu endelea kucomment ukichoka utaacha
Namjua tapeli huyuPM ipo wazi ndugu