Application za vyuo (Diploma)

Joined
Jul 19, 2016
Posts
6
Reaction score
2
Habari wandugu, naomba niulize kama kutakua na application za vyuo (diploma) kwa tuliokosa cutting point ya 4.0 na inaweza ikawa lini?
 
Naomba msaada kidogo,

Wale wanaotaka kwenda Diploma wataombaje vyuo vya Diploma maana NACTE kimya. Au wanaandika barua kama zamani itumwe NACTE kwa Katibu Mkuu?
 
Na mie hilo linanisumbua maana mtoto wa dada yangu kapata E mbili na D moja hana sifa ya kusoma bachela! tunamuandaa kusoma diploma, kwa sasa yuko jeshini
 
Kwa ninavyofahamu, week hii au ijayo NACTE wanafungua tena CAS online application.

Ningeshauri wanafunzi muanze kutafuta course na vyuo mnavovipenda.
 
Subirieni NACTE wanafungua dirisha week hizi 2.
 
chuo ganii knatoa highr dploma in education kwa dar..mathematics
 
Si walisema tarehe 31/7/2016 ktk vyombo vya habari hivyo tusubiri na Ku apply ni online kupitia NACTE tuwe na subira
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…