thread si ipo juu sticky?
Free application za android zinazodownloadiwa kwa sana ni pamoja na
AMP-video na music player
AUDIO MANAGER-locking calls,hide call,apps,pictures,videos ni nzur na ipo privacy
CALL ASSIST--Fake call and sms
DUMPSTER-Kama recyclebin kwenye comp,chichote unachofuta kinahifadhiwa humo,unauwezo wakukirudisha
TUBEMATE-download video toka youtube
VAULTY-hide picture,videos kwa password.....
WHATSAPP-chatting
SHUSHA ZINGINE UNAZOZIJUA NA ZINAZOBAMBA....
It shows mtu anakupigia kwa kuset jina na number yake,pia msg inaingia kama mtu amekutumia but ni msg unayoset mwenyeweinakuwaje hiyo kwenye red?
It shows mtu anakupigia kwa kuset jina na number yake,pia msg inaingia kama mtu amekutumia but ni msg unayoset mwenyewe
Ushahidi's SMSsync, forwards sms to named website.