5 5525 JF-Expert Member Joined Apr 6, 2014 Posts 5,494 Reaction score 6,525 Jul 21, 2017 #1 Msaada kuhusu Loan Board ivi kwa table inavyoonyesha hapo chini ni tayari wanafunzi wanaanza kuomba? mana sentens ya juu ni bado lakini ukienda kwenye Apply for Loan systeama kama inaturuhusu kuomba. Naomba ufafanuzi.
Msaada kuhusu Loan Board ivi kwa table inavyoonyesha hapo chini ni tayari wanafunzi wanaanza kuomba? mana sentens ya juu ni bado lakini ukienda kwenye Apply for Loan systeama kama inaturuhusu kuomba. Naomba ufafanuzi.
yello masai JF-Expert Member Joined Jan 8, 2016 Posts 3,927 Reaction score 4,199 Jul 22, 2017 #2 Kwani hiyo sentensi ya juu hujaielewa? Sent using Jamii Forums mobile app
Dr Dre JF-Expert Member Joined May 23, 2015 Posts 2,669 Reaction score 2,859 Jul 22, 2017 #3 Tujuzeni kwenye hili
B Bacary Superior JF-Expert Member Joined Jul 3, 2014 Posts 3,721 Reaction score 1,515 Jul 22, 2017 #4 MMHH jaribu kuomba
Spitzkoppe JF-Expert Member Joined Feb 27, 2014 Posts 265 Reaction score 477 Jul 22, 2017 #5 Ni vizuri ukasubiri kwanza upate uhakika Sent using Jamii Forums mobile app
DMCT JF-Expert Member Joined Apr 25, 2015 Posts 2,276 Reaction score 5,943 Jul 22, 2017 #6 Nafikiri itakuwa bado
F foramen Senior Member Joined Jul 27, 2016 Posts 126 Reaction score 35 Jul 22, 2017 #7 Mbona ni english rahis tuu imetumikaa We have not yet opened
M mswahili93 JF-Expert Member Joined Apr 16, 2017 Posts 210 Reaction score 116 Jul 22, 2017 #8 Daahh yan nina mashaka na hawa wasomi wetu..yan form six leaver unashindwa tambua maana ya (WE HAVE NOT YET OPENED)....... Sent using Jamii Forums mobile app
Daahh yan nina mashaka na hawa wasomi wetu..yan form six leaver unashindwa tambua maana ya (WE HAVE NOT YET OPENED)....... Sent using Jamii Forums mobile app
okaoni JF-Expert Member Joined Jun 25, 2011 Posts 1,471 Reaction score 1,308 Jul 22, 2017 #9 Hii bodi sitaki kuisikia inakata hata watu ambao hawajawahi kuingia mkataba nao wa kuwakoposha