Fungua whattsap web katika pc utaona bar code, , also nenda kwa sim yako, pale juu kuna nukta 3, click hapo chagua whatssap web, itakuletea camera, kuwa kama unapiga picha ile bar code iliyopo katika pc, ambayo actually unascan, then, start use it. AS simple as that