Application letter - Nafasi Zaidi ya Moja

Dimlyt

Senior Member
Joined
Aug 1, 2019
Posts
105
Reaction score
163
Habari zenu wapendwa!

Naomba kujua kitu hiki kwa anaefahamu. Kwa mfano zimetangazwa nafasi za kazi (positions mbalimbali) katika taasisi fulani, and according to my qualifications ninaweza fit labda nafasi nne hivi.

Swali langu ni kuhusu uandishi wa application letter. Je, Natakiwa kuandika barua separate? Yaan niandike barua nne, kila barua na position nnayoapply au hizo position zote nizi-state katika One application letter?

Maoni yenu wakuu..
 
Okay, Ahsante kwa ushauri.
 
Na vipi kama tangazo limetoka bila ya Kumb. No...?
Hiki kitu hata mm nmekifikiria, matangazo mengi skuhiz unakuta ni mara chache sana yanakua na kumbukumbu namba..

I think incase kama hakuna kumbukumbu namba tutaweka tu tarehe na information za mahali ulipolisoma/kuliona tangazo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…