Teknolojia ni Yetu sote JF-Expert Member Joined Apr 28, 2020 Posts 1,355 Reaction score 2,769 Jul 31, 2025 #1 Apple inatarajiwa kutambulisha emoji mpya 8 kutoka kwenye Unicode 17.0 kupitia iOS 26 mapema kabisa mwanzo mwa mwaka 2026. Emoji hizo mpya 8 zitakuja zikiwa na muonekano wa kipekee kama ifuatavyo ๐ โก Face distorted โก Clouds fight โก Ballet dancers ๐ Apple core ๐ Trombone ๐ Orca ๐ Hairy creatures pamoja na Treasure Chest Ebu tuambie nj emoji gani umeipenda zaidi ๐.
Apple inatarajiwa kutambulisha emoji mpya 8 kutoka kwenye Unicode 17.0 kupitia iOS 26 mapema kabisa mwanzo mwa mwaka 2026. Emoji hizo mpya 8 zitakuja zikiwa na muonekano wa kipekee kama ifuatavyo ๐ โก Face distorted โก Clouds fight โก Ballet dancers ๐ Apple core ๐ Trombone ๐ Orca ๐ Hairy creatures pamoja na Treasure Chest Ebu tuambie nj emoji gani umeipenda zaidi ๐.
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 375,677 Reaction score 870,404 Jul 31, 2025 #2 Wasituletee tu za walinazi na ngangari poa
Hope urassa JF-Expert Member Joined Aug 22, 2017 Posts 4,590 Reaction score 11,394 Jul 31, 2025 #3 Hata sielewi
N nguvu JF-Expert Member Joined Jun 13, 2013 Posts 24,634 Reaction score 24,525 Aug 1, 2025 #4 Wazungu wana ujinga mwingi.
kiss ov love JF-Expert Member Joined Jan 21, 2025 Posts 9,388 Reaction score 16,188 Aug 1, 2025 #5 Sasa vina faida gani hivyo viemoji, labda mimi ndo mshamba
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,943 Reaction score 1,252,154 Aug 2, 2025 #6 Aiseeeeeee