God'sBeliever
JF-Expert Member
- Sep 1, 2015
- 5,788
- 3,068
Ok thanks for correction, pia nimecheki video youtube hio lumia 950 ukiweka kwenye laptop unaweza kuicontol kwenye laptop, yan display na kila kitu kwenye screen ya pc inaonekana kama ilivo kwenye simulumia 950 na 950xl zinatumia sd 810 na sio 820. simu ya windows 10 mobile yenye sd 820 ni hp elite x3.
na 950 haina uwezo wa computer, ili kifaa kiwe na uwezo kama computer inabidi kiwe na processor za x86 na sio hizi zinazotumika kwenye simu yaani arm.
kifaa ambacho kinakaribiana na simu huku kikiwa na nguvu kama computer ni GPD win. cheki video yake
yap inaitwa continuum, ila ina limitation haiwezi kurun x86 app. siku microsoft wakitoa simu yenye processor ya x86 utaweza kuiconect tu na monitor au tv na kuitumia simu kama desktop.Ok thanks for correction, pia nimecheki video youtube hio lumia 950 ukiweka kwenye laptop unaweza kuicontol kwenye laptop, yan display na kila kitu kwenye screen ya pc inaonekana kama ilivo kwenye simu
Nice mkuu, ila hiyo simu ya hp ntaifuatilia zaidyap inaitwa continuum, ila ina limitation haiwezi kurun x86 app. siku microsoft wakitoa simu yenye processor ya x86 utaweza kuiconect tu na monitor au tv na kuitumia simu kama desktop.
sasa hivi continuum inarun apps ambazo ni universal zinazokubali kwenye simu na pc, kama una windows 8 au 10 utajua windows ina app za aina mbili za kwenye store na za kawaida kwenye desktop, sasa continuum yenyewe inarun zile za kwenye store tu.
si kweli mkuu, a10 ina nguvu sana tena sana kuipita sd 820 au soc nyengine yoyote unayoijua wewe, ila sababu sd820 ni ya zamani tuombe tu mungu sd830 iwe na nguvu zaidi au intel atoe core m za simuDado snapdragon yupo juu kuanzia kwenye performance na kwenye heavy game pamoja apple wamekuja na hii A-10 Fusion bado snapdragon 820 Ina nguvu kubwa
Mwakani watakuja na processor 830
Sent from mTalk
yote kivipi?..A10 ni kama Yote Mkuu
hujaangalia a10 ya amd lakini? maana apple wanatumia dual core tunimechek A10 kwenye gaming ina hexa-core
Mkuu kuna ukweli japokua zipo nying yaweza isiwe na nguvu.hujaangalia a10 ya amd lakini? maana apple wanatumia dual core tu
nyie mnaoitumia iPhone 7 mtakuwa mnajua performance zake sio ukute ukiwasha game au app nyingi simu inapata moto kama kaa la moto...Better one au viwango vyovyote utakavyotaka kutumia uexpress Ubora
..inategemea Mkuu,kuna Games nzitoo kweli lazma ipate moto tunyie mnaoitumia iPhone 7 mtakuwa mnajua performance zake sio ukute ukiwasha game au app nyingi simu inapata moto kama kaa la moto.
iPhone mna maringo saana lakini hamna lolote. embu fikiria hiyo GPU ya hexa-xore inapata moto sasa ni nini hiyo kama sio geresha tuu? bora nikomalie samsung na window, pia napata contrast nzuri ya LED ya vioo vyao sio huo uchwara wa iPhone...inategemea Mkuu,kuna Games nzitoo kweli lazma ipate moto tu
..Sawa kiongozi,Komaa nazoiPhone mna maringo saana lakini hamna lolote. embu fikiria hiyo GPU ya hexa-xore inapata moto sasa ni nini hiyo kama sio geresha tuu? bora nikomalie samsung na window, pia napata contrast nzuri ya LED ya vioo vyao sio huo uchwara wa iPhone.